Rapa Kendrick Lamar, anadondosha album yake mpya "Mr. Morale & The Big Steepers" Mei 13. kupitia mtandao wa kijamii '
Instagram' ametundika kava la album hiyo.
Kwenye picha anaonekana K. Dot akiwa amemshikilia mtoto huku 'girlfriend wake wa siku nyingi Whitney Alford amekaa kitandani akiwa na mtoto mchanga
No comments:
Post a Comment