Saturday, May 28, 2022

Mimi Mars - La La



Self proclaimed "Chuga Queen" ukipenda Mimi Mars, amerudi na video ya wimbo "La La" uliotayarishwa na Gachi B. Video imefanywa na dairekta Kenny. Check out below.

Tuesday, May 17, 2022

Rapcha atanganza kuachia "To The Top" 20/5



Msanii wa P Funk Majani, Rapcha, anadondosha projekti mpya 20/5 ikiwa na 'tracks' tano. Queen Fifi ukipenda Frida Amani, pamoja na Barakah Da Prince wameshirikishwa kwenye projecti hiyo.

Angalia orodha ya ngoma hapo chini. Tweet si inasomeka?