Msanii wa P Funk Majani, Rapcha, anadondosha projekti mpya 20/5 ikiwa na 'tracks' tano. Queen Fifi ukipenda Frida Amani, pamoja na Barakah Da Prince wameshirikishwa kwenye projecti hiyo.
Angalia orodha ya ngoma hapo chini. Tweet si inasomeka?
Projekti mpya kutoka kwa Rapcha “To The Top” inatoka ndani ya siku 3! featuring @FridaAmani & @AfrikanPrince_
— MUZIKINOW (@muzikinow) May 17, 2022
who excited?! pic.twitter.com/8bQPD3aBut
No comments:
Post a Comment